Pages

January 17, 2015

SITTI MTEMVU ATEMBELEA KITUO CHA WENYE ULEMAVU WA NGOZI DAR ES SALAAM NA KUTEMBELEA HOSPITALI YA MKOA ILALA.

 Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemv,  akivaa moja ya kofia alizo kabidhi kwa  msaada katika kituo cha watu wenye albinizim (UNDER THE SAME SUN)   (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
  Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemvu (kushoto) , akimkumbatia kwa furaha Mariam Staford , mara alipo tembelea kituo hicho, ambapo Mariam alikatwa mikono yake yote miwili akitokea kijiji cha Ntobeye Wilayani Ngara Kagera.

  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The  Sun Tanzania  Vicky Ntetema (kulia) , akifafanua jambo wakati Mwenyekiti huyo alipo tembelea kituo hicho
 Afisa utetezi  Kondo Seif (wakwanza kushoto)  akitolea malezo ukosefu wa rangi asili mwilini ambayo huathiri rangi ya mwili kwa maana ya ngozi ,macho na nywele na kukosekana kwa  melani mwilini, miongoni mwa athari zake ni wepesi wa kuungua na Jua unapotembea juani na ufanyapo kazi juani.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The  Sun Tanzania  Vicky Ntetema (kulia) akimuonyesha   Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemvu (kushoto)  Picha ya mtoto  alie tekwa akiwa mgongoni mwa mama yake wapili  .kushoto ni Mama mzazi  wa Sitti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The  Sun Tanzania  Vicky Ntetema (kulia) akimuonyesha   Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemvu (kushoto)  Picha ya Wazazi walio zaa  mtoto mwenye albinizim ambao kwa pamoja wameamua kumlinda na kumlea kwa pamoja . kushoto ni Mama wa Sitti.

Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemvuakimvisha kofia Mariam Staford.


Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemvu, akiangalia picha .
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemvu akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The  Sun Tanzania  Vicky Ntetema (kulia) akimkabidhi Kofia na  kitita cha Sh. Laki 3 .

Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation,  Sitti Mtemvu, katika pocha ya pamoja 

Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa tatu kulia) akimkabidhi vifaa vya kuhifadhia taka Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa zungu (kushoto), kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Ilala Dar es Salam.  kuanzia kushoto  nyuma ya mbunge ni Diwani wa kata ya Kinyerezi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Leah Mgitu katikati ni mama mzazi wa Sitt Mariam Mtemvu, wa kwanza kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi  Edson Fungo na anae fatia ni  Daktari Kiongozi wa Hospitali ya Mkoa Ilala
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa zungu akiongea na Waandishi wa Habari ( pichani hawapo)  mara baada ya kupokea  vifaa mbalimbali  vya kuhifadhia taka na Sabuni.

Mama mzazi wa Mtoto   akiwa amelazwa katika Hospitali hiyo na mwanae Hassan Idd (3) akipokea Sabuni Toka kwa Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu alipo tembelea Hospitalini hapo.
Amina Rashidi akiwa amelazwa katika Hospitali hiyo na mwanae Warda Abasi (9) akipokea Sabuni Toka kwa Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu alipo tembelea Hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment