Wanakwaya wa kwaya ya Makuhani ya Kanisala la EAGT Makanyagio, Mpanda wakiimba katika uzinduzi wa Album yao ya Tuiombee Afrika uliofanywa na mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda kwenye ukumbi wa Shule ya Saint Mary's ya Mpanda Desemba 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa kwaya ya Makuhani ya Makanyagio, Mpanda wakati alipozindua Album yao ya Tuiombee Afrika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Saint Mary's Desemba 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akionyesha DVD ya Tuiombee Afrika ya kwaya
ya Makuhani ya Kanisa la EAGT la Makanyagio, Mpanda wakati alipozindua
Album hiyo kwenye ukumbi wa Saint Mary's mjini Mpanda Desemba 31, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule
ya sekondari ya sevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na
wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment