Pages

January 3, 2015

PITIA HAPA UONE PICHA ZA BARAZA LA MADIWANI JIJI LA ARUSHA

Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema akizungumza kwenye kikao  cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo 

Diwani wa Kata ya Terat,Jiji la Arusha,Julius Sekayan akijadili hoja ya vifaa vya hospitali vilivyotoweka katika Kituo cha afya Levolosi.

Diwani wa Kata ya Sekei Jiji la Arusha,Crispin Tarimo akijadili hoja ya vifaa vya hospitali vilivyotoweka katika Kituo cha afya Levolosi.

Kikao cha Baraza la Madiwani kikiendelea

No comments:

Post a Comment