Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika uzinduzi wa maegesho
na njia ya kupitia Ndege (APRON AND TAXIWAY) leo katika kiwanja cha
Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume -Zanzibar huko Kiembesamaki
nje ya Mji wa Unguja katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Kaimu Meneja wa Benki ya Dunia Tanzania Monthe Biyoudi wakikata utepe
kuzindua maegesho na njia ya kupitia Ndege (APRON AND TAXIWAY) leo
katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume -Zanzibar
huko Kiembesamaki nje ya Mji wa Unguja katika shamra shamra za kutimiza
miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar(kushoto0 Waziri wa
Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Kaimu Meneja wa Benki ya Dunia Tanzania Monthe Biyoudi wakifungua
pazia kwa pamoja kuzindua maegesho na njia ya kupitia Ndege (APRON AND
TAXIWAY) leo katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani
Karume -Zanzibar huko Kiembesamaki nje ya Mji wa Unguja katika shamra
shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar
Wananchi
na Viongozi mbali mbali walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa
maegesho na njia ya kupitia Ndege (APRON AND TAXIWAY) leo katika kiwanja
cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume -Zanzibar huko
Kiembesamaki nje ya Mji wa Unguja katika shamra shamra za kutimiza miaka
51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Ndege
mbali mbali zikiwa katika Paki ikionesha sura halisi ya uwanja wa Ndege
wa Kimataifa cha Abeid Amani Karume -Zanzibar ilivyo ambapo Ndege za
mashirika mbali mbali ya ndege zinaouwezo wa kutua hapa nchini na kuweza
kukuza pato la Taifa letu.
Msoma
Risala Farida Rajab Yussuf akisoma risala hiyo mbele ya mgeni rasmi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
wakati wa uzinduzi wa maegesho na njia ya kupitia Ndege (APRON AND
TAXIWAY) leo katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani
Karume -Zanzibar huko Kiembesamaki nje ya Mji wa Unguja katika shamra
shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Wasanii
wa Ngoma ya Kibati wakitoa burudani yao wakati wa sherehe za uzinduzi
wa maegesho na njia ya kupitia Ndege (APRON AND TAXIWAY) uzinduzi
uliofanyika leo katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani
Karume -Zanzibar huko Kiembesamaki nje ya Mji wa Unguja ikiwa ni katika
shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar
ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein alikuwa mgeni rasmi wa shuhuli hiyo
Waziri
wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji akitoa nasaha fupi na
kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein kutoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa maegesho na
njia ya kupitia Ndege (APRON AND TAXIWAY) leo katika kiwanja cha Ndege
cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume -Zanzibar huko Kiembesamaki nje ya
Mji wa Unguja katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi
matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa maegesho na njia ya
kupitia Ndege (APRON AND TAXIWAY) uzinduzi uliofanyika leo katika
kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume -Zanzibar huko
Kiembesamaki nje ya Mji wa Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za
kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu].
No comments:
Post a Comment