Majeruhi wanne wa Simba huko Olasiti,Kata ya Minjingu,wilaya ya Babati jirani na Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ,Manyara wametoroka hospitalini usiku wa kuamkia leo wakihofia kukamatwa na vyombo vya dola.
Wagonjwa walikua wamelazwa katika hospitali ya wilaya Monduli mkoa wa Arusha.
Inadaiwa usiku wa kuamkia mwaka mpya kundi kubwa la wananchi katika Kijiji hicho waliwaua Simba Sita(6)waliovamia Kijiji chao kwa lengo la kula mifugo yao.
No comments:
Post a Comment