Pages

December 22, 2014

Yamoto Band yatimiza mwaka mmoja,hiki ndicho walichoamua kufanya.


IMG_4755Mkubwa na Wanawe ambao ndani yake ndiko inapopatikana Yamoto Band imetimiza mwaka mmoja toka ianzishwe wikiendi iliyopita ambapo wiki chache zilizopita Said Fella ambaye ndiye mkurugenzi ali amplify kupitia Exclusive interview na millardayo.com jumla ya show walizofanya.
Licha ya kuwa ni bendi changa ambayo ina mashabiki wengi Yamoto Band inaweza kuwa ni bendi ya kwanza ndani ya mwaka mmoja kutoa single zaidi ya 5 na zote zika hit na kuimbwa na watu wa kila rika.
Wikiendi iliyopita kundi hilo kupitia Mkurugenzi wao Mkubwa Fella waliamua kwenda kutoa misaada kwenye kituo cha watoto Yatima Temeke kama kurudisha shukrani kwa mashabiki wao wanaowafatilia.
IMG_4762
IMG_4748
IMG_4743
IMG_4742
IMG_4741
IMG_4718
IMG_4726
IMG_4727
IMG_4730
IMG_4733
IMG_4734
IMG_4711
IMG_4710

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...