![]() |
| Magari matano yaliyokabidhiwa kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kwaajili ya kuwezesha kukabiliana na ujangili nchini. |
![]() |
| Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akia magari matano aina ya Land Cruiser yaliyotolewa na taasisi Wildlife Conservation Foundation of Tanzania(WCFT) yenye thamani ya ya Sh 599 milioni |
![]() |
| Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisalimiana na mmoja wa wawindaji mjini Arusha. |
![]() |
| Maafisa wanyamapori wakiwa kwenye picha ya pamoja wakifurahia magari yatakayowawezesha kufanya kazi kwa wepesi |








Post a Comment