Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha
Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM
Kata ya Nachingwea iliyoko mjini Lindi wakati alipotembelea tawini hapo
kwa ajili ya kikao na viongozi wa kata hiyo juu ya ushiriki wa Chama
cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, vjiji na vitongoji
unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014.
Viongozi
wa CCM Kata ya Nachingwea pamoja na wagombea uongozi kwenye uchaguzi wa
serikali za mitaa wakiwa katika kikao na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa Mama Salma Kikwete (hayupo pichani)

wa NEC Taifa wa CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika
shamrashamra na viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea muda mfupi kabla ya
kuzungumza na viongozi hao tarehe 6.12.2014.
Mke
wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete
akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea na wagombea wa chama
hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe
14.12.2014.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Mingoyo pamoja na wagombea uongozi
kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 14.12.2014.
Mke
wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete akimjulia
hali mtoto mdogo aliyebebwa na mama yake wakati Mama Salma akiingia
kwenye sehemu ya mkutano wa kampeni katika Kata ya Mingoyo huko Lindi
tarehe 6.12.2014.
Mke
wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma
Kikwete akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi
mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.

wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi
Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na
wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa
serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014

Mke wa
Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama
Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na
wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa
serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014
PICHA NA JOHN LUKUWI.
No comments:
Post a Comment