Azam
kwa kushirikiana na NMB Bank wamezindua kadi ambayo itatumika kuweka na
kutoa pesa popote penye tawi la benki ya NMB, kadi hiyo pia itakuwa na
taarifa zote za wanachama ambayo itaonyesha jina na sehemu alipo
mwanachama, Kadi hizo zitapatikana nchi nzima
Pia itawafanya wanachama kuwa wateja wa NMB moja kwa moja,leo kwa kuanzia zitatolewa kadi 100 kwa mashabiki wa timu hiyo.
Mgeni wa heshima kwenye hafla hiyo Naibu Waziri wa michezo mh Juma
Nkamia amesema umefika muda wa kuondokana na zama za kushabikia vilabu
vya Simba na yanga pekee.
pia amesisitiza w atanzania wazisapoti klabu za Yanga na azam kwenye michezo yao ya kimataifa


إرسال تعليق