![]() |
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na
Ushirika,Godfery Zambi akipewa zawadi ya Maua baada ya kuwasili kwenye kiwanda
cha kampuni ya Mbegu ya Seed Co Tanzania,eneo la Kisongo mkoa wa Arusha.
|
![]() |
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery
Zambi(kushoto) akiteta na Mwenyekiti wa kampuni ya Mbegu ya Seed Co Afrika
Mashariki,Shongwe Ndorro.
|
![]() |
Meneja Masoko wa kampuni ya mbegu ya Seed
Co Tanzania,Frank Wenga(wa pili kulia)akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa
Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery Zambi wakati akikagua kiwanda hicho.
|
![]() |
| Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery Zambi akisalimiana na Mawakala wa Mbegu kutoka maeneo mbalimbali nchini lengo likiwa kuhamasisha kilimo chenye tija. |
![]() |
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na
Ushirika,Godfery Zambi akikata utepe kuzindua kiwanda cha kampuni ya Mbegu ya Seed Co Tanzania chenye uwezo wa kuzalisha mahindi
bora na Mtama tani 5,000 kwa msimu
|
![]() |
Wadau wa sekta ya kilimo wakiwa ndani ya
kiwanda cha Mbegu cha Seed baada ya uzinduzi wake eneo la Kisongo,mkoa wa
Arusha.
|
![]() |
Vijana wakitoa burudani kuwatumbuiza
wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa kiwanda hicho.
|
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wakipata picha ya pamoja |









Post a Comment