Meneja
Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi
wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu
zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom. kushoto ni Meneja biashara wa TFF
Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas
Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430
Milioni.
Kutoka
kushoto: Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi Silas Mwakibinga,Mwakilishi wa klabu ya
Azam FC Phillip Alanzo na Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange wakionesha jezi
za Azam FC walizokabidhiwa na mdhamini wa Ligi Kuu ya Vodacom kampuni
ya Vodacom kwa ajili ya msimu wa 2014/2015. Timu 14 zimekabidhiwa vifaa
vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430 Milioni.
Meneja
Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim(kushoto) akimkabidhi
jezi Mwakilishi wa JKT Ruvu akishuhudiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa bodi
ya ligi Silas Mwakibinga(katikati) wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa
vya michezo kwa timu 14 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom.Vifaa hivyo
zimetolewa na wadhamini w aligi hiyo kampuni ya Vodacom.
Kutoka
kushoto: Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa
Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga,Mwakilishi wa timu ya
Kagera Sugar na Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange wakionesha jezi
ilziokabidhiwa timu ya Kagera kwa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya
msimu wa 2014/2015. Vodacom imekabidhi vifaa kwa timu zote 14
zinazoshiriki ligi hiyo.
Mwakilishi
wa timuu ya Mbeya City akipokea kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Nje wa
Vodacom Tanzania Salum Mwalim(kushoto) jezi zitakazotumiwa na timu hiyo
katika msimu wa 2014/2015 wa ligi kuu ya Vodacom. Wa pili toka kusho ni
Afisa Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga na kulia ni
Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange .Vodacom imekabidhi vifaa kwa timu zote 14
zitakazoshiriki ligi kuu vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi Milioni
430.
Mwakilishi
wa Timu ya Simba akipokea kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom
Tanzania Salum Mwalim(kushoto) jezi zitakazotumiwa na timu hiyo katika
msimu huu mpya utakaoanza hivi karibuni. pili toka kusho ni Afisa
mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga na kulia ni Mjumbe wa TFF
na Makamu Mwenyekiti wa Simba Geoffrey Nyange. Vodacom imekabidhi
vifaa kwa timu zote 14 zitakazoshiriki ligi kuu vikiwa na thamani ya
zaidi ya shilingi Milioni 430.
Kutoka
kushoto Meneja Biashara wa TFF Peter Simon, Meneja Uhusiano wa Nje wa
Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Silas
Mwakibinga na Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange wakifurahia jambo pamoja na
Afisa habari wa Yanga Baraka Kizuguto wanne toka kushoto wakati wa
hafla ya Vodacom kukabidhi vifaa kwa timu 14 zitakazoshiriki Ligi Kuu ya
Vodacom.
Meneja
Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa Mtendaji Mkuu
wa bodi ya Ligi Silas Mwakibinga na kulia ni Mjumbe wa TFF Geoffrey
Nyange wakifurahia jambo pamoja na Afisa habari wa Yanga Baraka Kizuguto
wane toka kushoto wakati wa hafla ya Vodacom kukabidhi vifaa kwa timu
14 zitakazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom.
AfisaMendaji
Mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga(katikati)akipokea vifaa vipya
toka kwa Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,
vitakavyotumiwa na waamuzi katika mechi mbalimbali za Ligi kuu ya
Vodacom Tanzania bara zitakazoanza hivi karibuni. Jumla ya zaidi ya
shilingi Milioni 430 zimetumika katika kununua vifaa kwa timu 14
zitakazoshirikii Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 pamoja na vifaa vya
waamuzi.
No comments:
Post a Comment