BREAKING NEWS: MADERVA WA MABASI YATOKAYO UBUNGO KWENDA MIKOANI WAGOMA


   Madereva wa mabasi yaendayo mikoani amabayo huanzia safari zake ubungo jijini Dar es salaam wameanza mgomo leo asubuhi na kuwapa tabu abiria wanaotarajia kusafiri kuelekea mikoani na nchi jirani na Tanzania. Kwa taarifa zaidi endelea kutufatilia hapa hapa tutakujuza zaidi

Post a Comment

Previous Post Next Post