Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Vingozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Chuo
cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni katika Mahafali ya Kwanza ya
Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyojumisha jumla ya wahitimu 35 .
Wahitimu
wa Mafunzo ya Udaktari wakiwa katika maandamano wakati wa Mahafali ya
Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika
viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa
Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman (katkati) wakisimama wakati wimbo
wa taifa ukipigwa katika Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari
Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi
za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja,(kushoto) Mkuu wa Kitivo cha Tiba
DEAN Ulpiano Perez na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk.Mohamed Saleh
Jidawi.
Walimu
Madaktari Bingwa katika Chuo cha Madaktari Zanzibar kutoka Nchini CUBA
wakiitikia Wimbo wa Taifa lao ulipopigwa katika Mahfali ya Kwanza
ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo
cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein.
Walimu
Madaktari Bingwa katika Chuo cha Madaktari Zanzibar kutoka Nchini CUBA
wakiwa katika Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar
yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za
Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais
Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume na Mkewe Mama Shadya Karume
(kulia) pamoja na Viongozi wengine Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Abdalla Mwinyi Khamis na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo
wakiwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar mafunzo
yaliyotolewa na Madaktari Bingwa kutoka CUBA yaliyofanyika leo katika
viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa
Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Waalikwa
katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar wakimsikiliza
mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika viwanja vya
Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja .
Balozi
wa Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo alipokuwa akitoa salama
zake wakati wa Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar
mafunzo yaliyotolewa na Madaktari Bingwa kutoka CUBA yaliyofanyika
katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya
Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wahitimu
wa Mafunzo ya Udaktari wapatao 35 yaliyotolewa na Mataktari Bingwa
kutoka Nchini Cuba wakila kiapo cha Utii wa kazi zao mbele ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza yaliyofanyika katika
viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Miongoni
mwa wahitimu wa Mafunzo ya Udaktari yaliyotolewa na Mataktari Bingwa
kutoka Nchini CUba wakila kiapo cha Utii wa kazi zao mbele ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza yaliyofanyika katika
viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Mkuu
wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada
Yassin Khamis Mohamed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo
ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa
mahfali ya kwanza yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Mbweni nje
ya Mji wa Unguja.
Mkuu
wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada
Yussuf Said Ahmed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya
Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali
ya kwanza yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji
wa Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Yussuf Said Ahmed baada ya kukutunukiwa shahada ya
Udaktari wakati wa Mahfali ya kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar
yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za
Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Mkuu
wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada
Zena Kassim Mohamed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya
Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahafali
ya kwanza yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji
wa Unguja.
Baadhi
ya wahitimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Mahfali ya
Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja
vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja,
jumla ya wanafunzi 35 wamehitimu mafunzo na kupewa shahada zao .
Waziri
wa Afya Rashid Serif Suleiman akimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na
wanachuo na wananchi waliohudhuria katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha
Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha
Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja, jumla ya
wanafunzi 35 wamehitimu mafunzo na kupewa shahada zao .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa zawadi kwa Fatma Mrisho Haji akiwa ni miongoni mwa wanafunzi
bora waliopata zawadi katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha
Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma
za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia
Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora zaidi ya wote walimaliza masomo ya
Udaktari Nadhira Suleiman Said katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha
Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma
za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia
Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake wakati wa Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari
Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za
Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja, jumla ya wanafunzi 35
wamehitimu mafunzo na kupewa shahada zao leo (kulia) Waziri wa Afya
Rashid Serif Suleiman (kushoto) Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano
Perez kutoka Cuba.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
No comments:
Post a Comment