Pages

September 22, 2014

MKUU WA MKOA WA ARUSHA,MAGESA MULONGO AFUNGUA WIKI YA USALAMA BARABARANI AHIMIZA UTII WA SHERIA

Waendesha Pikipiki jijini Arusha wakiwa kwenye  maandamano barabara ya Moshi –Arusha eneo la Sanawari  wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha leo

Askari wa Brass band wakiongoza maandamo ya kuadhimisha  ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha leo

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru ya  jijini Arusha  wakijumuuika  kwenye  maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha .

Wanafunzi wa Shule za Msingi jijini  Arusha  wakijumuuika  kwenye  maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha .

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akisalimiana na maafisa wa Polisi kwenye uwanja wa Sheikh Amri  Abeid jijini Arusha   wakati wa maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha,kushoto ni  Naibu waziri wa Mambo ya Ndani,Pereira Silima.


Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akimsikiliza Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Makao Makuu,Yohana Mjema wakati akitoa maelezo ya  hali ya usalama barabarani.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akihutubia wananchi.

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo(kulia)akimkabidhi Ngao  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uuzaji wa magari ya  BE FORWARD  TANZANIA CO.LTD,Daniel Mtaalam ya kuwa Mdhamini Mkuu wa Wiki ya Usalama barabarani.


Baadhi ya Maafisa wa jeshi la Polisi nchini wakifatilia maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...