Pages

September 12, 2014

MABONDIA WA TANZANIA ,SAIDI YAZIDU NA ALIBABA RAMADHAN KUKIPIGA JIONI YA LEO NA MU-ALJERIA NA M-MALAWI KATIKA UKUMBI WA YMCA -MOSHI

Bondia toka Aljeria,Djamel Dahou akionesha mikanda anayoshikilia,muda mchache kabla ya kupima uzito .
Bondia Said Yazidu wa Tanzania (aliyenyanyua mikono) na kulia kwake ni bondia Alibaba Ramadhan wakiajiandaa na zoezi la upimaji uzito.
Bondia ,Dahou wa Aljeria akiwa na baba yake mzazi (kulia) ambaye ndiye kocha wake pamoja na mjomba wake (shoto) kwake wakiwa wameshikilia mikanda ya Ubingwa anaoshikilia bondia huyo. 
Promota Andrew George "Tyson"akionesha mkanda utakao gombaniwa kati ya Said Yazidu(Tanzania) na Djamel Dahou(Aljeria).
Bondia Alibaba Ramadhan akisalimia mashabiki wake.
Promota,Andrew George akitambulisha Bondia Alibaba Ramadhan(kulia) na Aleck Mwenda kutoka nchini Malawi(shoto)
Promota,Andrew George akitambulisha Bondia Said Yazidu(Tanzania) na Djamel Dahou toka Aljeria
Ni kama wanawaza"Takukarisha kwa KO wewe"
Bondia Aleck Mwenda(Malawi) akipima uzito.
Bondia Alibaba Ramadhan akipima uzito.
Promota akitambulisha mabondia.
"Utakaa mapema sana"
Bondia ,Djamel Dahou akipima uzito.
Bondia Said Yazidu akipima uzito.
"Mabondia ndio hawa hapa"

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...