Pages

September 28, 2014

GARI LATEKETEA MOTO JIRANI NA OFISI ZA KAMANDA WA POLISI KILIMANJARO



Gari dogo aina ya Suzuki Carry likiteketea moto katikati ya barabara maarufu kama Double Road jirani na makao makuu ya jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro.
Kikosi cha zima moto cha manispaa ya Moshi kilifika eneo la tukio kwa ajili ya kuudhibiti moto huo.
Askari wa Kikosi cha zimamoto akijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza gari hilo.


Baadhi ya mashuhuda wakitizama moto ulivyokuwa ukiteketeza gari hilo.
Askari wa kikosi cha zima moto walifanikiwa kuuzima moto huo.
Hata hivyo sehemu ya mbele ya gari hilo tayari ilikuwa imeteketea moto kwa kiasi kikubwa.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...