Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua kutoka kwa watoto leo muda mfupi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mji wa Victoria Falls
nchini Zimbabwe ambapo atashiriki katika mkutano wa 34 wa siku mbili wa
wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Hifikepunye Pohamba wa
Namibia muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za
SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia na Rais
Jackob Zuma wa Afrika ya kusini wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa
mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika hoteli ya
Elephant Hills, mjini Victoria Falls nchini Zimbabwe leo(picha na Freddy
Maro).
No comments:
Post a Comment