WAZIRI WA UTALII ATETA NA WATUMISHI WA IDARA YA UWINDAJI WA KITALII ARUSHA
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza na watumishi wa Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii
wa Picha Kanda ya Kaskazini ,kushoto ni Meneja wa Idara ya Kanda hiyo,Nyangabo Vaileth Musika jijini Arusha leo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisalimiana na mmoja wa Askari Wanyama Pori Kanda ya Kaskazini.
Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Idara ya Uwindaji
wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini ,wakimsikiliza Waziri wa
Wizara hiyo ,Lazaro Nyalandu leo kwenye ziara yake mkoani Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(wa nne kutoka
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kilichopo Sakina
jijini Arusha na Idara ya Uwindaji wa
Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment