|
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za
Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki
katika warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na
Usalama . |
|
Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo
wakifuatilia kwa makini majadiliano. |
|
Mhifadhi mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha
mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu
na changamoto zinazoikabiri TANAPA kwa ujumla. |
|
Meneja Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA
,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu Uhifadhi/Ulinzi wa Maliasili na
Changamoto zake(Ujangili) na Mfumo wa Jeshi Usu. |
|
Baadhi ya washiriki wakifuatilia
mjadala. |
|
Baadhi ya Washiriki wakichangia mada kuhusu
Uhifadhi /Ulinzi wa Maliasili na changamoto zake (Ujangili )na Mfumo
wa Jeshi. |
|
Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi
,SASP Gustavu Babile akitoa mada juu ya Mchango wa Jeshi la Polisi
katika Ulinzi wa Maliasili. |
|
Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Serengeti,Nyamakumbati Mafuru akichangia mada juu ya Mchango wa Jeshi la
Polisi katika Ulinzi wa Maliasili. |
|
Mratibu wa Mradi wa SPANEST ,Godwili Ole
Meng'ataki akichangia mada hiyo. |
|
Mkuu wa Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro RCO
,Ramadhan Ng'anzi akitoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali
yaliyochangiwa katika mada iliyowasilishwa na Kamishna
Mwandamizi wa Polisi SASP ,Gustavu Babile |
|
Kaimu Mkuu wa Idara ya Wanayamapori Paul
Sarakikya akichangia jambo wakati wa Warsha hiyo. |
|
Baadhi ya Washiriki wakisilikiliza kwa
umakini mkubwa wachangiaji katika mada iliyokuwa ikijadiliwa katika
Warsha hiyo. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment