Pages

July 21, 2014

PICHA JINSI TAIFA STARS WALIPOTOLEWA KAMASI NA MSUMBIJI KWA SARE YA GOLI 2 KWA 2


 Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 

Mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa katikati ya mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji.PICHA NA HABARI MSETO BLOG

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...