Askari wakichunguza mlipuko |
Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya Selian akizungumza na waandishi wa habari |
Mgonjwa akipatiwa matibabu |
Hali
ya usalama imezidi kuwa tete katika Jiji la Arusha kufuatia mfululizo
wa matukio ya raia kujeruhiwa kwa kinachoaminiwa kuwa mabomu ya kurusha
kwa mkono baada ya jana usiku kutokea mlipuka katika mgahawa wa Kihindi
ujulikanao kama Vama Traditional Indian Cuisine eneo la Gymkana
.
.
No comments:
Post a Comment