Pages

July 6, 2014

MAHAFALI YA NNE YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII ARUSHA YAFANA.

Baadhi ya wahitimu wa fani Usimamizi wa Hoteli waliohitimu katika ngazi ya Diploma katika Chuo cha Taifa cha Utalii Sakina,Arusha.

Baadhi ya wahitimu wa fani Usimamizi wa Hoteli waliohitimu katika ngazi ya Diploma katika Chuo cha Taifa cha Utalii Sakina,Arusha.

Mjumbe wa Bodi ya Chuo hicho,Leopald Kabendera akisalimiana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu,Dk Hellen Kijo Bisimba,katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa,Allan Kijazi.

Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa nchini(Tanapa)Allan Kijazi akimsikiliza mjumbe wa Bodi,Leopald Kabendera,kulia ni Mwalimu Rona.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...