Mkurugenzi
mtendaji wa kampuni ya Montage ya jijini Dar es salaam akiwagawia
watoto yatima wa kituo cha kulelea watoto cha SOS Village kikilchoko
Sinza barabara ya Sam Nujoma alipowakaribisha kwa futari kwenye ofisi za
kampuni hiyo zilizoko Kindondoni juzi ikiwa ni moja ya maelengo ya
kampuni hiyo kuwakumbuka watoto yatima na kuwakarimu wakati huu wa mwezi
mtukufu wa Ramadhan.
Anitha
Pangani mfanyakazi wa kampuni ya Montage akiwagawia watoto chakula
wakati wa futari hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Montage.
Watoto wakiendelea kupata chakula
Watoto wakifuturu
Baadhi ya wafanyakazi wa kituo hicho wakishiriki katika futari hiyo pamoja na watoto.
Mtoto Naijo Nestor Mapunda akifuturu pamoja na watoto wenzake wa kituo cha SOS Village Sinza.
Watoto wakipaku chakula
No comments:
Post a Comment