Gari dogo
aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana
uso kwa uso na Range Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi
jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha
Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakitizama pikipiki iliyokuwa chini ya gari hiyo
Hivi ndivyo pikipiki inavyoonekana ikiwa chini gari.
Askari
polisi wa kikosi cha usalama barabarani wakichukua vipimo mara baada ya
kutokea kwa ajali hiyo ambayo watu wawili wanadaiwa kufariki dunia papo
hapo huku wengine watatu wakijeruhiwa vibaya akiwemo dereva bodaboda
aliyevunjika miguu.
Baadhi ya
wanannchi wakitizama ajali iliyotokea katika makutano ya barabara kuu
ya Moshi/Arusha na ile ya kuelekea ofisi za mkuu wa wilaya ya Moshi
No comments:
Post a Comment