Eliamini
Amon Urio, (Katikati), mzazi wa Eileen, ambaye ni mwanafunzi wa kidato
cha tatu shule ya sekondari ya wasichana, Marian, iliyoko Bagamoyo
mkoani Pwani, akielezea jinsi fao la elimu litolewalo na Mfuko wa
Pensheni wa PPF, linavyosadia kumsomesha motto wake, baada ya kumpoteza
mumewe mwaka 2005. Aliyasma hayo wakati wa sherehe za siku ya wazazi ya
shule hiyo, Jumamosi Juni 7, 2014. Kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko
wa PPF, Lulu Mengele na kulia ni Afisa Michango wa PPF, Kanda ya
Kinondoni, Kwame Temu.
Joyce
Nachenga, (Kusho), mwakilishi wa Mfuko wa PPF, Kanda ya Kinondoni jijini
Dar es Salaam, akiwaeleza wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari
Marian, faida za kujiunga na Mfuko huo, wakati wa sherehe za siku ya
wazazi iliyofanyika shuleni hapo Jumamosi Juni 7, 2014.
Mmoja
wa wanafunzi wanaofaidika na fao la Elimu, litolewalo na Mfuko wa
Pensheni wa PPF, Rosalia Faustin Madulu, (Kulia), akieleza jinsi yeye
binafsi ambaye kwa sasa yuko kidato cha Kwanza shule ya sekondari Marian
iliyoko Bagamoyo, jinsi anavyofaidika na fao hilo tangu apoteze mzazi
wake miaka 9 iliyopita. Aliyasema hayo wakati wa siku ya wazazi ya
sekondari hiyo, Jumamosi Juni 7, 2014.Wakwanza kushoto ni Meneja Uhusian
na Masoko wa PPF, Lulu Mengele, na wengine ni wanafunzi wengine wa
shule hiyo wanaofaidika la fao hilo, Deborah Kibona, (Wapili kushoto) na
Eileen Amon Urio
Meneja
Uhusiano na Masoko wa PPF, Lulu Mengele (Katikati), akizungumza na
waandishi wa habari mara baada ya sherehe ya siku ya wazazi ya shule ya
sekondari ya Marian huko Bagamoyo, mkoani Pwani Jumamosi Juni 7, 2014.
Wanafunzi kadhaa wanasomeshwa na PPF, kupitia mpango wa Fao la Elimu
litolewalo na Mfuko huo, mwanachama anapofariki. Kushoto ni Eliamini
Amon Urio, ambaye motto wake, Eileen, alieko kidato cha tatu anasomeshwa
na PPF, kupitia mfumo huo.
Meneje
Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele (Wapili
kushoto), akizungumza na wazazi na wanafunzi wa shule ya sekondari
Marian, wanaosomeshwa na Mfuko huo kupitia mpango wa Fao la Elimu,
wakati wa sherehe za siku ya wazazi ya shule hiyo, iliyoko Bagamoyo
mkoani Pwani, Jumamosi Juni 7, 2014.
Meneja
Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, akitoa
mada kuhusu faida mbalimbali zipatikanazo ukiwa mwanachama wa Mfuko
huo,hususan Fao la Elimu, linalotolewa kwa watoto wa Mwanachama wa Mfuko
huo aliyefariki dunia, wakati wa sherehe za siku ya wazazi ya shule ya
sekondari Marian huko Bagamoyo, mkoani Pwani Jumamosi Juni 7, 2014. PPF
ilidhamini siku hiyo. Kulia ni Mtoto anayefaidika na Fao la Elimu,
mwanafunzi wa kidato cha kwanza, wa shule hiyo, Rosalia Faustin Madulu.
Mwadawa
Hida, (Katikati), mzazi wa Rosalia Faustin Madulu, ambaye ni mwanafunzi
wa kidato cha Kwanza, shule ya sekondari ya wasichana, Marian, iliyoko
Bagamoyo mkoani Pwani, akielezea jinsi fao la elimu litolewalo na Mfuko
wa Pensheni wa PPF, linavyosadia kumsomesha motto wake, baada ya
kumpoteza mumewe mwaka 2005. Aliyasema hayo wakati wa sherehe za siku ya
wazazi ya shule hiyo, Jumamosi Juni 7, 2014. Kushoto ni Meneja Uhusiano
na Masoko wa PPF, Lulu Mengele na kulia ni Afisa Michango wa PPF, Kanda
ya Kinondoni, Kwame Temu.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kanisa Katoliki, Muadhama Policarp
Kadinali Pengo,akinzungumza wakati wa sherehe za siku ya wazazi ya shule
ya sekondari ya wasichana, Marian, iliyoko Bagamoyo mkoani Pwani,
Jumamosi Juni 7, 2014.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kanisa Katoliki, Muadhama Policarp
Kadinali Pengo, akimshukuru Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, kutokana na Mfuko huo kudhamini sherehe
za siku ya Wazazi ya sekondari za Marian, huko Bagamoto, mkoani Pwani
Jumamosi Juni 7, 2014.
Deodatus
Balile, akitoa mada kuhusu faida na umuhimu wa kuweka akiba kupitia
mfuko ya Pensheni wa PPF, wakati wa sherehe za siku ya wazazi ya shule
ya sekondari Marian, huko Bagamoyo, mkoani Pwani Jumamosi Juni 7, 2014.
Mmoja
wa wanafunzi wanaofaidika na fao la Elimu, litolewalo na Mfuko wa
Pensheni wa PPF, Rosalia Faustin Madulu, (Kulia), akieleza jinsi yeye
binafsi ambaye kwa sasa yuko kidato cha Kwanza shule ya sekondari Marian
iliyoko Bagamoyo, jinsi anavyofaidika na fao hilo tangu apoteze mzazi
wake miaka 9 iliyopita. Aliyasema hayo wakati wa siku ya wazazi ya
sekondari hiyo, Jumamosi Juni 7, 2014.Wakwanza kushoto ni Meneja Uhusian
na Masoko wa PPF, Lulu Mengele, na wengine ni wanafunzi wengine wa
shule hiyo wanaofaidika la fao hilo, Deborah Kibona, (Wapili kushoto) na
Eileen Amon Urio.
Baadhi
ya wazazi wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa kuhusu faida za
kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa sherehe za siku ya
wazazi ya shule ya sekondari Marian, iliyoko Bagamoyo mkoani Pwani
Jumamosi Juni 7, 2014.
No comments:
Post a Comment