Manywele! Nyota wa Manchester United , Marouane Fellaini akishangilia bao lake la kusawazisha .Marouane Fellaini akitokea benchi ameifungia Ubelgiji bao la kusawazisha katika kipindi cha pili na kuiwezesha nchi yake kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa ufunguzi wa kombe la dunia wa kundi H dhidi ya wawakilishi wengine wa Afrika, timu ya taifa ya Algeria.
Winga wa Chelsea, Eden Hazard ndiye aliyetengeneza bao la pili na la ushindi alilofunga Dries Mertens.
Beki wa Tottenham, Jan Vertonghen alifanya makosa na kusababisha penati katika kipindi cha kwanza.
Jan Vertonghen akimuangusha mchezaji wa Algeria, Sofiane Feghouli na mwamuzi kutoa penati
Jan Veryonghen akimlalamikia mwamuzi ,Marco Rodriguezna kwa kutoa penati lakini alipewa onyo ya kadi ya njano.
Sofiane Feghouli akishangilia bao lake la penati.
No comments:
Post a Comment