EVANS AVEVA ALIVYOZINDUA KAMPENI ZAKE TEMEKE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU SIMBA SC, HANS POPPE NA KABURU NDANI YA NYUMBA


Mgombea Urais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva akizungumza na wanachama wa Temeke katika ukumbi wa Kata ya 14, jioni ya jana wakati wa uzinduzi wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo Juni 29, mwaka huu mjini Dar es Salaam.
Aveva katikati akizungumza, kulia ni Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Hassan Dalal na kushoto ni mfadhili wa klabu hiyo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Poppe
Wanachama wa Simba SC wakimsikiliza Aveva
Babu huyu akimsikiliza kwa makini Aveva wakati akimwaga sera zake
Akina mama nao hawakubaki nyuma
Aveva akisikiliza maoni, maswali na ushauri wa wanachama wa Temeke
Kutoka kulia Daalal, Aveva na Geoffrey Nyange 'Kaburu' mgombea Umakamu wa Urais
Hans Poppe, Kaburu na Aveva
Mwenyekiti wa Chama cha Soka Temeke (TEFA), Peter Mhinzi akimuombea kura Aveva kwa wanachama hao
Mikono juu, wanachama wakionyesha ishara watamoa kura Aveva
Aveva akisalimiana na mwanachama mlemavu wa Simba SC baada ya kampeni zake 

Post a Comment

Previous Post Next Post