JK AMJULIA HALI MAMA YAKE KABWE ZITTO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge
 wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)

Post a Comment

Previous Post Next Post