الصفحة الرئيسية ANGALIA PICHA WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI rweyemamuinfo.blogspot.com 11:54 ص 0 Wabunge kutoka vyama mbalimbali vya upinzani Bungeni wakiongozwa na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Freeman Mbowe wakitoka nje ya bunge kususia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Wizara ya Nishati na Madini uliokuwa ulkiendelea Bungeni mjini Dodoma.
إرسال تعليق