ANGALIA PICHA WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI

Wabunge kutoka vyama mbalimbali vya upinzani Bungeni wakiongozwa na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Freeman Mbowe wakitoka nje ya bunge kususia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Wizara ya Nishati na Madini uliokuwa ulkiendelea  Bungeni mjini Dodoma.




 

Post a Comment

Previous Post Next Post