Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa kumchagua kuwa mbunge wao uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6
Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kayta ya Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana
Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika juzi jimboni humo
No comments:
Post a Comment