WAZIRI MKUU mstaaafu na mbunge wa Monduli ,Mh.Edward Lowassa akipewa maelezo na watoto wa marehemu Edward Sokoine aliyewahi kuwa waziri mkuu na mbunge wa jimbo la Monduli, Namelok Sokoine ambaye ni mbunge wa viti maalum wa kwanza kushoto na Joseph Sokoine wmwenye tishet nyekundu ambaye ni afisa katika ubalozi wa Tanzania nchini Canada, juu ya maandalizi ya maadhimishoya miaka 30 ya kifo cha Edward Moringe Sokoine aliyewahi kuwa waziri mkuu na mbunge wa jimbo la Monduli yatakayoadhimishwa kesho April 12.
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ambapo ataongozana marais wastaafu pamoja na mawaziri wakuu wastaafu wote.
katika maadhimisho hayo kutakuwa na mbio za marathon
hili ndilo kaburi la Edward Moringe Sokoine aliyewahi kuwa waziri mkuu na mbunge wa monduli aliyefariki april 12, 1984
No comments:
Post a Comment