Wanaume
tumerudi; Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto kulia akipongezana na Katibu
wake, Amir Mhando baada ya kutangazwa washindi mchana huu ukumbi wa NSSF
Water Front, Dar es Salaam.
Pinto
alipata kura 82 wakati 13 zilimkataa, na Egbert Mkoko ameshinda nafasi
ya Makamu Mwenyekiti kwa kura 67 dhidi ya 32 za Mohammed Omary Masenga.
Akitangaza
matokeo ya uchaguzi huo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Boniface
Wambura Mgoyo alimtaja Amir Mhando kushinda tena nafasi ya Ukatibu Mkuu
baada ya kupata kura 93. Mhando hakuwa na mpinzani na kura mbili tu
zilimkataa.
Nafasi ya Katibu Msaidizi imekwenda kwa Grace Aloyce Hoka aliyepata kura 65 dhidi ya 31 za Alfred Lucas Mapunda.
 |
| Aliyeshindwa;
Elizabeth Mayemba kulia aligombea Ujumbe akashindwa. Mwani Nyangassa wa
pili ameshinda na kushoto ni mpiga kura Zaituni Kibwana |
 |
| Sophia Asheri kulia na Somoe Ng'itu kushoto |
 |
| Mhariri wa magazeti ya mwishoni mwa wiki ya Habari Leo, Eric Anthony Mkuti kulia |
 |
| Lehule Nyaulawa kulia akipongezana na Grace Hoka |
|
Post a Comment