Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu
wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo, Feb 16, 2014.
Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakiwa ukumbini. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Feb 26, 2014. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Sheni
Sekretarieti ya Kikao Cha NEC ikiwa tayari kwa kazi ukumbini leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akimsikiliza kwa Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Steven Kazidi, wakati wakijadili jambo ukumbini. Katikati ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
Wajumbe wa NEC, Balozi Ali Mchumo na Dk. Asha-Rose Migiro wakijadili jambo ukumbini. Kushoto ni Khatib
Wajumbe Ukumbini
Wajumbe ukumbini
Mjumbe wa NEC, Profesa Anna Tibaijuka akimtegea sikio kwa makini mjumbe mwenzake, Profesa Mark Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbini wakati wa kikao hicho leo.
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mhita akimshauri jambo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Juma Sadifa wakati wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akimfafanulia jambo Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakati wakijadili jambo ukumbini. Katikati ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
Wajumbe ukumbini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mjumbe wa NEC, akizungumza na waandishi baada ya kuhojiwa na Tume ya Maadili ya CCM leo, baadaye alihudhuria kikao cha NEC

.jpg)
إرسال تعليق