BENKI YA DUNIA YAZINDUA UTAFITI WAO JUU YA ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera akifungua mkutano wa uzinduzi wa ripoti ya kipimo cha mafanikio ya Itifaki ya Soko la Pamoja leo jijini Arusha

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera akimkabidhi mmoja wa viongozi kutoka Kenya ripoti hiyo.


 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kulia)akipokea sehemu nakala za ripoti kutoka Media Cordinator wa EAC,Florian Mutabazi
Naibu Katibu Mkuu(siasa)Charles Njoroge na Naibu Katibu Mkuu(Uzalishaji) wakifatilia ripoti hiyo

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(wa tatu kushoto)akiwa na viongozi mbalimbali wakati wa uzinduzi huo.

Post a Comment

Previous Post Next Post