Mbwana Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya Rodrick Kabwe wa Zambia kushoto |
Mbwana Samatta akichuana na Nahodha wa Zambia, Bronson Chama kulia |
Mrisho Ngassa akimpiga tobo beki wa Zambia, Rodrick Kabwe |
Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka Sydney Kalume wa Zambia kulia |
Felix Katongo wa Zambia akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Stars, Athumani Iddi 'Chuji' |
Haikuwa riziki; Kipa Ivo Mapunda na beki wake Said Mourad wakitoka uwanjani baada ya mechi |
Walikosekana; Kiungo Frank Domayo kushoto akiwa na mshambuliaji Thomas Ulimwengu wakifuatilia mechi hiyo jukwani |
Wachezaji wa zamani Tanzania, Kitwana Manara 'Popat' kushoto na Joe Kadenge wa Kenya kulia walikuwepo Nyayo |
Wachezaji wa zamani wa Tanzania |
Erasto Nyoni akimtoka Felix Katongo |
Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka Rodrick Kabwe |
Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Zmbia |
Haroun Chanongo kulia akimtoka Kabaso Chongo |
Wachezaji wa Stars wakinawa maji baada ya mchezo kusimama kutokana na kulipuliwa kwa mabomu ya machozi na Polisi dakika ya 88 wakipambana na mashabiki wa Kenya waliotaka kuingia uwanjani bure |
Kujiokoa dhidi ya mabomu |
Mrisho Ngassa kulia na Amri Kiemba kushoto wakikimbia mabomu. Mchezo ulisimama dakika ya 88 hadi baada ya dakika sita ukaendelea |
No comments:
Post a Comment