RAIS WA KENYA AKUTANA NA RAIS WA SUDAN KUSINI KUTAFUTA SULUHU YA MGOGORO

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akiwa na mwenyeji wake Rais wa Sudan Kusini,Salva Kiir akikagua gwaride la heshima jana mjini Juba alikoenda kufanya juhudi za upatanishi dhidi ya uasi ulioanzishwa na Makamu wa Rais aliyefurushwa Riek Machar.

Waziri Mkuu wa Ethiopia,Haillemariam(kushoto)Rais wa Sudan Kusini,Salva Kiir na Rais wa Kenya,Uhuru Kenya wakiwa picha kabla ya kuanza mkutano baina yao mjini Juba.

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Ethiopia,Haillemariam wakizungumza na baadhi watu wanaoshikiliwa kwa makosa mbalimbali.Picha kwa hisani ya KPPS.

Post a Comment

أحدث أقدم