Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia
Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu
hao.
Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi vijijini. |
Sehemu ya eneo la tukio
Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.
No comments:
Post a Comment