Pages

November 14, 2013

NCHI ZA EAC ZATAKIWA KUJENGA UTAMADUNI WA MAZUNGUMZO KUEPUKA VURUGU

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi,Mh.Bernard Busokoza(kushoto) akifungua mkutano wa siku tatu wa Amani na Usalama unaofanyika jijini Bujumbura,Burundi ulioandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)kulia ni Waziri wa nchi wa Burundi anaehusika na Wizara ya frika Mashariki
 Waziri wa Mambo ya Ndani,Dk Emmanuel Nchimbi akifatilia  mada kwenye mkutano huo.
 Mwandishi Mkongwe kutoka Tanzania,Jenerali Ulimwengu akifatilia kwa makini.
 Viongozi mbalimbali wa dini na asasi za kiraia wakishiriki kikamilifu mkutano huo ambao unaweka msisitizo wa kuzungumza tofauti badala ya vita.
 Viongozi wa dini kutoka nchi za Afrika Mashariki
Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa,Charles Njoroge akizungumza jambo na Waziri wa Nchi wa Uganda anayeshughulikia Maji,Betty Bigombe
 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania,Makongoro Nyerere akiwa ni miongoni mwa wadau wa amani kwenye mkutano huo.
Mbunge kutoka Uganda katika Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Mike Sebaru na Afisa wa Shirika la Maendeleo ya Ujerumani(GIZ)


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...