Pages

November 28, 2013

EAC YAKUTANA NA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI KAMPALA,UGANDA

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)akitoa hotuba  yake Wamiliki,Mameja na Wahariri wa vyombo ya habari nchini Uganda leo,EAC imekua ikiandaa mkutano  wa mwaka kwa wadau hao ili kuboresha mahusiano na kujenga uelewa wa juhudi za mtengamano wa Jumuiya.

Mkuu wa Mawasiliano wa EAC,Owora Richard Othieno

Mkuu wa Mawasiliano wa EAC(kushoto)akizungumza jambo na Kaimu Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Serikali ya Tanzania(TSN)Gabriel Nderumaki na Mhariri wa Shirika la utangazaji la Taifa(TBC)Jane Shirima.

Katibu wa Media Council of Tanzania(MCT)Mkajubi Mkajanga(kushoto)na Mkongwe wa habari nchini Tanzania,Ndimara Tegambwage

Wadau wa Maendeleo wakifatilia mada katika mkutano huo




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...