Raushan DesignShroff TemplatesMafiaXDesign

HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA KWA MTANGAZAJI NA MWANDISHI WA ITV.

 

UFO SARO. 
Pichani chini baadhi ya Wafanyakazi wenzake na Ufo Saro kutoka IPP pamoja waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako alikua akipatiwa matibabu  Wafanyakazi hao wakibadilishana mawazo hapa na pale katika hospitali ya Muhimbili. 

Post a Comment

Previous Post Next Post