![]() |
| Kikosi cha timu ya waandishi wa habari za michezo Dar es Salaam(Taswa -Dar)katika picha ya pamoja leo |
![]() |
| Juma Pinto(shoto)wa Taswa Dar akichuana na beki wa Radio 5,Taswa waliibugizia mabao 3-1 |
![]() |
| Mtanange baina ya ORS Radio ya Mkoani Manyara na Sunrise Radio ya jijini Arusha. |
![]() |
| Kikosi cha timu ya wasichana katika Chuo cha Uandishi wa habari Arusha(AJTC QUEENS) |
![]() |
| Wadau wakifatilia bonanza |
![]() |
| Wadau kutoka Chuo cha Uandishi wa habari Arusha wakiwa kwenye pozi. |
![]() |
| Benchi la ufundi la Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha likiongozwa na Mr Elifuraha Samboto(kulia)wakifatilia kwa makini |










Post a Comment