USHIRIKIANO WA MARAIS PAUL KAGAME,YOWERI MUSEVENI NA UHURU KENYATTA WASONGA MBELE

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya(pili kulia)na Naibu Rais wake,William Ruto(kulia)wakiwa na marais Paulo Kagame wa Rwanda(wa tatu kulia na Rais wa Uganda,Yoweri Mseveni jana Mombasa wakat wa uzinduzi wa Gati itakayorahisha kuingiza na kutoa mizigo

Rais Yoweri Mseveni wa Uganda(kushoto)akiwa ameshika  bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)na viongozi wenzake,Rais Paul Kagame wa Rwanda,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Naibu Rais,William Ruto

Post a Comment

Previous Post Next Post