Pages

August 11, 2013

TASIWRA KONGAMANO LA SHEIKH PONDA MOROGORO.

Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Kongamano, Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro
 Askari wa FFU wakijisongeza kati kati ya uwanja mara baada ya muda wa kongamano kumalizika.
 Kikosi cha FFU uwanjani
 Shekh Ponda akikaribishwa kwenye jukwaa kuu baada ya kuwasili kwenye viwanja vya shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege, mjini Morogoro
 Shekh Ponda akisalimiana na Mhadhiri wa Mihadhara nchini, Ustaadhi Abubakari
 Shekh Ponda akiteta jambo na baadhi ya Viongozi wa umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro
 Shekhe Ponda akiwa meza kuu kwenye kongamano hilo
 Shekhe Ponda akiwa amezingirwa na waumini
 Umati wa waumini wa Kiislamu wakimsikiliza Shekh Ponda
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa mjini Morogoro wakimsikiliza Shekh Ponda
Waumini wa Kiislamu wakitawanyika uwanjani baada ya muda wa kongamano kufikia tamati. 
CHANZO ;jumamtanda.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...