![]() |
| Mbunge wa Ilemala mkoa wa Mwanza akiwa na wafuasi wake wakitoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa kumwomba apokee maandamano yaliandaliwa na Chadema kupinga uhalali wa Meya wa halmashauri ya Ilemela. |
![]() |
| Polisi wakiwa wameimarisha usalama kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza wakati Mbunge wa Ilemera,Hyness Kiwia akitoka kuonana na Mkuu wa Mkoa,Evarist Ndikilo |



Post a Comment