![]() |
Spika wa Bunge la Afrika
Mashariki(EALA)Magreth Zziwa akimsikiliza mbunge wa bunge hilo kutoka Tanzania,Shyrose Bhanji
wakati wakielekea bungeni.
|
![]() |
| Spika akiongoza kikao cha leo mchana ambacho kiliahirishwa baada ya wabunge wa Tanzania kutoka nje |
![]() |
| Maafisa wa bunge wakitafakari baada ya wabunge wa Tanzania kutoka nje na Spika kuhairisha kikao hadi kesho |








Post a Comment