Mwenyekiti
wa Taasisi ya Tanzania Centre for Democracy(TCD) ambaye pia ni kiongozi wa chama
cha NCCR Mageuzi Mhe. James Mbatia akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
maazimio ya Kongamano la Kitaifa kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika
hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam na kufungwa jana
jioni.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa
Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salam jana jioni.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa vyama vya siasa vilivyoshiriki
katika Kongamano la kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli
ya White Sands jijini Dar es Salaam.Kushoto ni kiongozi wa Chama cha NCCR
Mageuzi Mhe.James Mbatia (MB), Mwenyekiti wa TLP Mhe.Augustine Lyatonga
Mrema(watatu kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mhe.John Momose
CheyoRais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(aliyekaa katikati) Akiwa katika picha ya Pamoja na
baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na washiriki wa Kongamano la Kitaifa
Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment