Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea saluti mara baada ya kuwasili Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam tayari kuongoza kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es
salaam katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT)
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahoda (kulia) na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Samweli Albert Ndomba (kulia
kwake) katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam katika kilele
cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Baadhi ya askari wa JKT na JWTZ katika sherehe
hizo
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea saluti akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahoda, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni
Jenerali Samweli Albert
Ndomba (kulia) na
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga (kulia kwa Rais ) katika
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam katika kilele cha maadhimisho ya miaka
50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Gwaride likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi
vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Ukakamavu
Nidhamu
Utii
No comments:
Post a Comment