Pages

July 10, 2013

PICHANI NI WATANGAZAJI WA BBC SWAHILI WAKIONYESHA UWEZO WAO WA KUIMBA.


Kutoka Kushoto ni Dayo Yusuf, Peter Musembi, Zuhura Yunus, Charles Hilary, Mtaalam mwenyewe na Zawadi Machibya
 Kama wewe ni mshabiki wa Kipindi cha Dira ya dunia na matangazo ya BBC Swahili, basi zile sauti zinazosikika na kutazamwa katika matangazo ya uhakika na ya kuaminika Afrika, yanawezeshwa na watangazaji hawa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...