Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ofisi ya Chadema mkoa wa Arusha na kulaumu Polisi kwa kuwazuia wafuasi wake kumpokea uwanja wa ndege wa Arusha mara baada ya kuwasili jijini hapa akitokea Dar es Salaam alikoenda kwa matibabu baada ya kudai kuvamiwa na wafuasi wa chama cha siasa wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Makuyuni,Monduli
|
No comments:
Post a Comment